Pata Mpemba bure kwa miezi 3. Anza leo.Anza Miezi 3 ya Bure

Imeundwa Kwa Biashara Kama Yako

Bonyeza picha yoyote kuona jinsi inavyofanya kazi kwa hali ya kweli.

Anza Bure
Rekodi Mauzo Yako
Pesa Inayoingia

Rekodi Mauzo Yako

Bonyeza kurekodi kila mauzo kwa sekunde: cash, M-Pesa, Airtel, Tigo Pesa, au benki.

Gusa uone mfano wa kweli

Fuatilia Matumizi Yako
Pesa Imetoka

Fuatilia Matumizi Yako

Rekodi kila pesa unayotumia kwa sekunde chache.

Gusa uone mfano wa kweli

Mikopo Unayotoa
Mteja Anakudai

Mikopo Unayotoa

Usisahau anayekudai. Weka tarehe ya kulipa na upate reminder.

Gusa uone mfano wa kweli

Mkopo Uliochukua
Unadaiwa na Wasupplier

Mkopo Uliochukua

Jua hasa unachudaiwa wasupplier wako na lini unapaswa kulipa.

Gusa uone mfano wa kweli

Risiti za Simu
Risiti za PDF

Risiti za Simu

Tuma risiti kupitia WhatsApp kwa sekunde. Huhitaji printer.

Gusa uone mfano wa kweli

Muhtasari wa Biashara
Ripoti

Muhtasari wa Biashara

Kila siku, wiki, mwezi. Jua kama ulifanya faida kweli.

Gusa uone mfano wa kweli

Simamia Wafanyakazi Wako
Ufikiaji wa Wafanyakazi

Simamia Wafanyakazi Wako

Ona ni nani alirekodia nini. Wapa wafanyakazi akaunti zao na mipaka.

Gusa uone mfano wa kweli

Inafanya Kazi Hata Bila Net
Bila Net

Inafanya Kazi Hata Bila Net

Rekodi popote. Inasync yenyewe net ikirudia.

Gusa uone mfano wa kweli

Chagua Sarafu Yako
Sarafu Yako

Chagua Sarafu Yako

TZS, KES, UGX, USD, GBP, EUR. Weka sarafu yako mara moja na app nzima inafanya kazi nayo.

Gusa uone mfano wa kweli

Download Rekodi Zako
Export ya CSV

Download Rekodi Zako

Pakua historia yako yote. Shiriki na accountant wako au benki.

Gusa uone mfano wa kweli

Tayari Kuanza?

Anza kutumia Mpemba bure leo. Inafanya kazi kwenye simu yoyote, tablet, au kompyuta.

Anza Bure