Pata Mpemba bure kwa miezi 3. Anza leo.Anza Miezi 3 ya Bure

Anza bure. Lipa tu ukikua.

Kila biashara ni tofauti. Uanze tu au una timu inayokua, kuna plan inayofaa mahali ulipo sasa.

Kibanda / Biashara ya Kwanza
Kibanda / Biashara ya Kwanza

Bure

Unaanza tu, au bado huna uhakika

TZS 0/mwezi

Free forever

  • Miamala 50 kwa mwezi
  • Risiti 3 kwa mwezi
  • Export 1 ya CSV kwa mwezi
  • Fuatilia pesa inayoingia na kutoka
  • Angalia salio lako
  • Inafanya kazi simu yoyote, tablet au kompyuta
Anza Bure
Saluni / Mama Lishe / Duka
Maarufu
Saluni / Mama Lishe / Duka

Premium

Unaendesha biashara kila siku na unahitaji picha kamili

TZS 12,000/mwezi

~$5 USD

  • Miamala bila kikomo
  • Risiti za PDF bila kikomo
  • Export kamili ya CSV
  • Fuatilia mikopo uliyotoa na uliyochukua
  • Ripoti za kila siku, wiki na mwezi
  • Tag ya M-Pesa, Airtel, Tigo Pesa
  • Rekodi za tarehe zilizopita
  • Reminder ya madeni na tarehe za kulipa
  • Msaada wa WhatsApp wa haraka
Pata Premium
Duka na Wafanyakazi / Jumla
Duka na Wafanyakazi / Jumla

Biashara

Una wafanyakazi na unahitaji kuona ni nani alifanya nini

TZS 24,000/mwezi

~$10 USD

  • Kila kitu kipo kwenye Premium
  • Simamia timu yako (Mmiliki/Meneja/Mfanyakazi)
  • Login nyingi kwa watu wengi
  • Orodha ya wateja na wasupplier
  • Ona ni nani alirekodia nini
  • Sarafu mbalimbali (TZS, KES, UGX, USD, GBP, EUR)
Pata Premium
Supamaketi / Matawi Mengi
Supamaketi / Matawi Mengi

Timu

Maeneo mengi au biashara kubwa zaidi

TZS 48,000/mwezi

~$20 USD

  • Kila kitu kipo kwenye Business
  • Ruhusa za hali ya juu
  • Simamia data kwa wingi
  • Msaada wa matawi mengi
  • Account manager wako mwenyewe
  • Mafunzo maalum ya biashara yako
Pata Premium

✓ Hakuna kadi ya mkopo inayohitajika ✓ Futa wakati wowote ✓ Data yako iko salama

Maswali ya kawaida